Friday, November 2, 2012

BAADA YA KIMYA KIREFU SASA JIANDAE KUPATA HABARI ZAIDI.

WASOMAJI WA MTANDAO HUU WA HABARIKWANZA,BAADA YA KIMYA KIREFU KWA KUTOKUWALETEA HABARI NA MATUKIO MBALI MBALI,SASA HABARIKWANZA INAKUJA KWA KASI ZAIDI ILI KUWEZA KUKUJUZA WEWE MTANZANIA NA MSOMAJI WETU POPOTE PALE DUNIA. HABARIKWANZA ITAKUWA YA KWANZA KUKUHABARIRISHA..KAA TAYARI KUPATA HABARI ZAIDI.