Wahitimu wa darasa la saba katika shule mbili za msingi za mkwatani na kichangani zilizopo wilayani kilosa mkoani morogoro wametakiwa
kuwa makini kwa kipindi hiki ambacho wamehitimu elimu ya msingi wakiwa
wanasubili wakiwa nyumbani kwa kungojea
matokeo yao.
Waitimu wa darasa la saba wa shule zote mbili mkwatani na kichangani
Hayo yamesemwa na aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali
hayo Faresi Makene alipokuwa akiwapa
wosia wahitimu hao wa darasa la saba September 19 mwaka huu katika viwanja vya
shule ya msingi kichangani ambapo katika shule ya msingi kichangani waliohitimu
ni 72 na katika shule ya msingi mkwatani wanafunzi waliohitimu ni 22.
Mwalimu mkuu wa shule ya mkwatani aliyesimama akifuatiwa na mgeni Rasmi akifuatiwa na mwenyekiti wa shule ya msingi kichangani Swedy Sawasawa na wa mwisho ni Mwalimu wa shule ya msingi kichangani Saidy Mkalimoto
Baadhi ya wazazi wakiwa wanawashuhudia watoto wao wakihitimu elimu ya msingi
Wanafunzi wa darasa la sita wakiwa wanacheza muziki
Katika mahafari hayo pia Mwalimu mkuu wa shule ya msingi
Mkwatani Sophia Mkwemba amewataka wazazi
na viongozi wa vijiji kuwapokea watoto hao huko majumbani na kuwa nao makini
kwa kuedelea
wanafunzi na wazazi waliokusanyika kuwaaga wahitimu wa darasa la saba katika viwanja vya shule ya msingi kichangani.
kuwapa na kuwafunza maadili yaliyo mema ili kuwaandaa na maisha ya
baadae na kuwataka wazazi
kujiandaa mapema pindi matokeo yanapotoka ili
wawasomeshe vizuri watoto bila matatizo.
Mzazi akifurahi na mwanaye mara baada ya sherehe
kikundi cha ngoma cha wanafunzi wa darasa la nne wakitumbuiza katika sherehe hiyo ya mahafari ya darasa la saba 2014