Breekking news ilitufikia mida hii ni kwamba Msanii Na Producer Wa Music Wa BongoFleva Na Reggae Mack Malik
Simba Amefariki Dunia Dakika 50 Zilizopita. Kaka Wa Marehemu Msafiri
Masharubu amesema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa Na Kuvimba Kwa Miguu
Sana. Amefia Nyumbani Kwao Yombo.
Mack Alikuwa Member wa Kundi la wateule na producer kwenye studio za Enrico Pale Sound Crafters.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, Amina!!!!!!!!!!!.
No comments:
Post a Comment