Thursday, May 15, 2014

UCHAGUZI SIMBA WAIVA.

KUMEKUCHA SIMBA ,UCHAGUZI NAFASI YA  UJUMBE,MKAMBALLAH KUKGOMBEA NAFASI YA UJUMBE
 
 
Mweka hazina wa tawi la mpira pesa la magomeni mikumi bwana  IDD NASSORO MKAMBALLAH  akichukia fomu ya kugombea nafasi ya ujumbe.
 




Idd Nassor Mkamballah akirejesha fomu kwa Katibu msaidizi wa kamati ya uchaguzi wa club ya Simba bwana Khalid Kamguna

No comments:

Post a Comment